AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
UPPER CIRCULATION SUPPORT TINCTUREMAELEZO UPPER CIRCULATION SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mzunguko wa damu na majimaji katika sehemu za juu za mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Terrain ya Dr. Mittoh, mtiririko mzuri wa damu na lymph husaidia usambazaji wa virutubisho, uondoaji wa taka za kimetaboliki na ustawi wa tishu mbalimbali. INGREDIENTS Ginkgo biloba Tincture Crataegus monogyna Tincture FAIDA • Husaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za juu za mwili • Huchangia usambazaji bora wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali • Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic na mtiririko wa majimaji ya mwili • Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili • Husaidia kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla JINSI INAVYOFANYA KAZI Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye afya hutegemea mtiririko mzuri wa damu, lymph na maji ya mwili. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic katika ukusanyaji na usafirishaji wa taka za mwili huku ikichangia mzunguko mzuri wa damu katika sehemu za juu za mwili. Mzunguko huu husaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali pamoja na kusaidia mazingira bora ya seli. Pia hu-support michakato ya asili ya detoxification inayochangia usafi wa terrain ya mwili. Aidha, formula hii hu-support mawasiliano ya kawaida kati ya mfumo wa neva na mfumo wa endocrine ili kusaidia balance na vitality ya mwili kwa ujumla. NAMNA YA KUTUMIA Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu. WANAOFAA KUTUMIA Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za juu za mwili, wanaotaka kuimarisha mtiririko wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali, au wanaotafuta support ya asili kwa vitality ya mwili wanaweza kutumia formula hii. TAHADHARI Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa. Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
50 in stock
TSh 60,000
View product