AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
BLOOD PRESSURE SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mimea ulioandaliwa kusaidia afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na ustawi wa mishipa ya damu. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, mzunguko bora wa damu hutegemea mazingira safi ya ndani ya mwili, usafirishaji mzuri wa virutubisho, na uwiano wa mifumo inayoratibu afya ya moyo na mishipa.
INGREDIENTS
Crataegus monogyna Tincture
Leonurus cardiaca Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mzunguko wa damu
• Huchangia ustawi wa mishipa ya damu
• Husaidia usambazaji bora wa virutubisho mwilini
• Huchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
• Husaidia kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa mzunguko wa damu huathiriwa na ubora wa terrain ya mwili na uwezo wake wa kuondoa taka zisizohitajika. Mfumo huu hu-support lymphatic system kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu mbalimbali. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu unaowezesha usambazaji wa oksijeni na virutubisho kwa seli za mwili. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, mwili huweza kudumisha mazingira yanayofaa kwa afya ya moyo na mishipa. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ambao hushirikiana katika kuratibu uwiano wa kazi mbalimbali za mwili na kusaidia vitality kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu, wanaotaka kusaidia ustawi wa mishipa ya damu, na wanaotafuta njia ya asili ya ku-support vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock