AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
VEIN SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mishipa ya damu na mzunguko mzuri wa damu mwilini. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mishipa hutegemea usafirishaji mzuri wa virutubisho, uondoaji wa taka za mwili na mazingira bora ya ndani ya mwili (terrain) yanayosaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Aesculus hippocastanum Tincture
Hamamelis virginiana Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mishipa ya damu na mzunguko wake wa kawaida.
• Huchangia usafirishaji bora wa virutubisho kwenye tishu za mwili.
• Husaidia kuimarisha vitality ya mfumo wa mzunguko wa damu.
• Huchangia afya ya miguu na hisia ya wepesi katika shughuli za kila siku.
• Husaidia kudumisha mtiririko mzuri wa damu kwa njia ya asili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mishipa ya damu huathiriwa kwa kiasi kikubwa na ubora wa terrain ya mwili. VEIN SUPPORT TINCTURE husaidia ku-support mzunguko mzuri wa damu huku ikichangia afya ya mfumo wa lymphatic ambao unahusika na uondoaji wa taka za kimetaboliki. Pia huchangia detoxification ya mwili kwa kusaidia mtiririko wa majimaji kwenye tishu mbalimbali. Mfumo mzuri wa mzunguko wa damu huunga mkono mawasiliano bora kati ya tishu na mifumo mingine ya mwili, ikiwemo mfumo wa neva na endocrine, hivyo kusaidia usawazishaji wa kazi mbalimbali za mwili na kuongeza vitality kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hitaji la kusaidia afya ya mishipa ya damu, mzunguko wa damu, afya ya miguu, au wanaotaka kuimarisha vitality ya mfumo wa circulatory kama sehemu ya mpango wa afya ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock