AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
CIRCULATION SUPPORT TINCTURE ni fomula ya mitishamba iliyoundwa kusaidia afya ya mzunguko wa damu na usambazaji wa virutubisho katika mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, mzunguko mzuri huchangia mazingira bora ya ndani ya mwili kwa kusaidia ufikishaji wa oksijeni, virutubisho na uondoaji wa taka za kimetaboliki.
INGREDIENTS
Ginkgo biloba Tincture
Ruscus aculeatus Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mzunguko wa damu mwilini
• Huchangia usambazaji bora wa oksijeni na virutubisho kwenye tishu
• Husaidia kuimarisha vitality na nguvu za mwili
• Huchangia afya ya mishipa na mtiririko mzuri wa damu
• Husaidia ku-support uondoaji wa taka za kimetaboliki kupitia mzunguko bora
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mwili hutegemea mtiririko mzuri wa majimaji na damu katika mazingira ya ndani ya mwili. CIRCULATION SUPPORT TINCTURE hu-support mzunguko wa damu kwa kusaidia usafirishaji wa oksijeni na virutubisho kwenda kwenye tishu mbalimbali. Pia huchangia afya ya mfumo wa lymphatic ambao hushiriki katika ukusanyaji na uondoaji wa taka za kimetaboliki. Mzunguko mzuri husaidia michakato ya detoxification, huunga mkono mawasiliano bora ya mfumo wa endocrine na hu-support mfumo wa neva kwa kusaidia upatikanaji wa virutubisho vinavyohitajika kwa utendaji wa kawaida wa mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mzunguko wa damu, wanaotaka ku-support vitality ya mwili, afya ya mishipa na usambazaji bora wa virutubisho katika mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock