AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LOWER CIRCULATION SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za chini za mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Terrain ya Dr. Mittoh, mzunguko mzuri wa damu na majimaji ya mwili huchangia usambazaji bora wa virutubisho na uondoaji wa taka za kimetaboliki.
INGREDIENTS
Hamamelis virginiana Tincture
Ruscus aculeatus Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za chini za mwili
• Huchangia usambazaji mzuri wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic na mtiririko wa majimaji ya mwili
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Husaidia kudumisha hali ya wepesi na vitality ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya tishu hutegemea mtiririko mzuri wa damu, lymph na maji ya mwili. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic katika ukusanyaji na usafirishaji wa taka za kimetaboliki huku ikichangia mzunguko mzuri wa damu kwenye sehemu za chini za mwili. Mtiririko huu husaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali. Pia hu-support michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kudumisha terrain yenye afya. Kwa kuimarisha mawasiliano kati ya mfumo wa neva na mfumo wa endocrine, formula hii huchangia uwiano wa mwili na vitality ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za chini za mwili, wanaokaa au kusimama kwa muda mrefu, au wanaotaka kuimarisha mtiririko wa lymph na vitality ya mwili wanaweza kutumia formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock