AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LOWER CIRCULATION SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mzunguko wa damu na majimaji katika sehemu za chini za mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Terrain ya Dr. Mittoh, mtiririko mzuri wa damu na lymph huchangia usambazaji wa virutubisho, uondoaji wa taka na ustawi wa tishu mbalimbali za mwili.
INGREDIENTS
Ruscus aculeatus
Aesculus hippocastanum
FAIDA
• Husaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za chini za mwili
• Huchangia mtiririko mzuri wa majimaji kupitia mfumo wa lymphatic
• Husaidia usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Husaidia kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye afya hutegemea mzunguko mzuri wa damu, lymph na maji ya mwili. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic katika ukusanyaji na usafirishaji wa taka za kimetaboliki huku ikichangia mtiririko mzuri wa damu kwenye sehemu za chini za mwili. Mzunguko huu huwezesha usambazaji bora wa virutubisho na oksijeni katika tishu mbalimbali. Pia hu-support michakato ya asili ya detoxification inayosaidia kudumisha mazingira bora ya seli. Kwa kuimarisha mawasiliano kati ya mfumo wa neva na mfumo wa endocrine, formula hii huchangia balance ya mwili na vitality ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za chini za mwili, wanaokaa au kusimama kwa muda mrefu, au wanaotaka kuimarisha mtiririko wa lymph na vitality ya mwili wanaweza kutumia formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock