AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Cardiovascular Support Tincture ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na vitality ya moyo kwa mtazamo wa Dr. Mittoh wa kuimarisha terrain ya mwili. Formula hii huchangia usafirishaji mzuri wa virutubisho na oksijeni mwilini huku ikiunga mkono uwiano wa mifumo inayohusika na afya ya moyo na mishipa.
INGREDIENTS
Crataegus monogyna Tincture
Leonurus cardiaca Tincture
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu
• Huchangia usafirishaji bora wa virutubisho na oksijeni mwilini
• Husaidia vitality na ustawi wa moyo
• Huchangia afya ya mishipa ya damu na circulation ya kawaida
• Husaidia kudumisha nguvu na ustahimilivu wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya moyo na mishipa huathiriwa na hali ya terrain ya mwili kwa ujumla. Formula hii husaidia kuunga mkono mtiririko mzuri wa lymphatic ili kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri vitality ya mwili. Pia huchangia circulation bora kwa kusaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni katika tishu mbalimbali. Mchakato huu hu-support detoxification ya asili ya mwili na kusaidia mawasiliano mazuri kati ya mifumo ya endocrine na nervous system. Matokeo yake ni mazingira yanayochangia afya bora ya mfumo wa moyo na mishipa pamoja na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa moyo na mishipa, wanaotaka kusaidia circulation ya mwili, pamoja na wale wanaotafuta kuunga mkono vitality na ustawi wa mfumo wa mzunguko wa damu kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock