AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Cholesterol Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na usawa wa mafuta mwilini kwa mujibu wa falsafa ya terrain ya Dr. Mittoh. Formula hii huchangia mazingira bora ya ndani ya mwili kwa kusaidia mifumo ya asili inayohusiana na usafirishaji wa virutubisho, detoxification na vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Cynara scolymus
Commiphora mukul
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mzunguko wa damu.
• Huchangia usawa wa mafuta mwilini kwa ujumla.
• Husaidia kuimarisha afya ya ini na michakato ya asili ya detoxification.
• Huchangia usafirishaji mzuri wa virutubisho kupitia mfumo wa damu.
• Husaidia kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kuboresha terrain ya mwili na kuhakikisha mifumo yake inafanya kazi kwa ufanisi. Cholesterol Support Formula hu-support mfumo wa lymphatic ili kusaidia usafishaji wa taka za kimetaboliki na kudumisha mazingira safi ya ndani ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Formula hii hu-support michakato ya asili ya detoxification, hasa ile inayohusiana na afya ya ini, huku ikisaidia balance ya mfumo wa endocrine unaohusika na michakato ya kimetaboliki. Kwa ujumla, huchangia ustawi wa mwili na utendaji mzuri wa mifumo muhimu ya ndani.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mfumo wa mzunguko wa damu, kudumisha usawa wa mafuta mwilini na kuimarisha ustawi wa jumla wa mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock