AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Cardiovascular Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa moyo na mishipa kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani ya mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh ya Terrain, formula hii huchangia circulation bora, vitality ya tishu, na usafirishaji mzuri wa virutubisho katika mwili.
INGREDIENTS
Crataegus laevigata
Terminalia arjuna
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa moyo na mishipa
• Huchangia circulation bora ya damu mwilini
• Husaidia vitality na nguvu za mwili kwa ujumla
• Huchangia usambazaji mzuri wa virutubisho katika tishu
• Husaidia kuimarisha ustawi wa mfumo wa mzunguko wa damu
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya moyo na mishipa hutegemea ubora wa terrain ya mwili na uwezo wake wa kudumisha mazingira safi ya ndani. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kuchangia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri vitality ya mwili. Pia huchangia circulation bora kwa kusaidia usafirishaji wa oksijeni na virutubisho katika tishu mbalimbali. Kwa kuunga mkono detoxification ya asili ya mwili, formula hii huimarisha uwiano wa mifumo muhimu ikiwemo endocrine na nervous system, hali inayochangia ustawi wa moyo, mishipa na afya ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya moyo na mishipa, wanaotaka kuimarisha circulation ya mwili, pamoja na wale wanaotafuta ku-support vitality na ustawi wa mfumo wa mzunguko wa damu kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock