AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
UPPER CIRCULATION SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mzunguko wa damu na mtiririko wa majimaji katika sehemu za juu za mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Terrain ya Dr. Mittoh, mzunguko mzuri wa damu na lymph huchangia usambazaji bora wa virutubisho, uondoaji wa taka za kimetaboliki na ustawi wa mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Ginkgo biloba
Crataegus laevigata
FAIDA
• Husaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za juu za mwili
• Huchangia usambazaji bora wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic na mtiririko wa majimaji ya mwili
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Husaidia kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye afya hutegemea mzunguko mzuri wa damu, lymph na maji ya mwili. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic katika ukusanyaji na usafirishaji wa taka za kimetaboliki huku ikichangia mtiririko mzuri wa damu katika sehemu za juu za mwili. Mzunguko huu husaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali na kusaidia mazingira bora ya seli. Pia hu-support michakato ya asili ya detoxification inayochangia usafi wa terrain ya mwili. Kwa kuimarisha mawasiliano ya kawaida kati ya mfumo wa neva na mfumo wa endocrine, formula hii huchangia balance ya mwili na vitality ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za juu za mwili, wanaotafuta kuimarisha mtiririko wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali, au wanaotaka kusaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla wanaweza kutumia formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock