AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
UPPER CIRCULATION SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mzunguko wa damu na majimaji katika sehemu za juu za mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Terrain ya Dr. Mittoh, mtiririko mzuri wa damu na lymph husaidia usambazaji wa virutubisho, uondoaji wa taka za kimetaboliki na ustawi wa tishu mbalimbali.
INGREDIENTS
Ginkgo biloba Tincture
Crataegus monogyna Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za juu za mwili
• Huchangia usambazaji bora wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic na mtiririko wa majimaji ya mwili
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili
• Husaidia kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye afya hutegemea mtiririko mzuri wa damu, lymph na maji ya mwili. Formula hii husaidia ku-support mfumo wa lymphatic katika ukusanyaji na usafirishaji wa taka za mwili huku ikichangia mzunguko mzuri wa damu katika sehemu za juu za mwili. Mzunguko huu husaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali pamoja na kusaidia mazingira bora ya seli. Pia hu-support michakato ya asili ya detoxification inayochangia usafi wa terrain ya mwili. Aidha, formula hii hu-support mawasiliano ya kawaida kati ya mfumo wa neva na mfumo wa endocrine ili kusaidia balance na vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mzunguko wa damu katika sehemu za juu za mwili, wanaotaka kuimarisha mtiririko wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali, au wanaotafuta support ya asili kwa vitality ya mwili wanaweza kutumia formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
BLOOD PRESSURE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CIRCULATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MOYO NA MZUNGUKO WA DAMU (HEART & CIRCULATION)
CARDIOVASCULAR SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock