AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
NERVINE SUPPORT FORMULAMAELEZO NERVINE SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa neva na kusaidia mwili kudumisha uwiano wa ndani. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mfumo wa neva wenye afya huchangia mawasiliano bora ya mifumo ya mwili, resilience ya mwili na ustawi wa jumla. INGREDIENTS Scutellaria lateriflora Verbena officinalis FAIDA • Husaidia afya ya mfumo wa neva • Huchangia utulivu wa mwili na akili • Husaidia kudumisha balance ya mifumo mbalimbali ya mwili • Huchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla • Husaidia kuimarisha resilience ya mwili katika shughuli za kila siku JINSI INAVYOFANYA KAZI Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa terrain safi na mazingira mazuri ya ndani ya mwili. NERVINE SUPPORT FORMULA hu-support mfumo wa neva kwa kusaidia mawasiliano mazuri kati ya seli na mifumo mbalimbali ya mwili. Pia huchangia mzunguko bora wa damu na virutubisho vinavyohitajika na tishu za neva, huku iki-support mfumo wa lymphatic katika kuondoa taka za kimetaboliki kupitia michakato ya asili ya detoxification. Kwa kusaidia uwiano kati ya mfumo wa neva na endocrine, formula hii huchangia utulivu wa mwili, vitality na uwezo wa mwili kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. NAMNA YA KUTUMIA Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu. WANAOFAA KUTUMIA Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta kuimarisha utulivu wa mwili, au wanaotaka kudumisha balance ya mifumo ya mwili kwa ujumla wanaweza kufaidika na formula hii. TAHADHARI Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa. Wanaotumia dawa au wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
50 in stock
TSh 60,000
View product