AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Anxiety Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa neva, utulivu wa akili, na uwiano wa mwili kwa ujumla. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye terrain iliyo safi na yenye uwiano huweza ku-support hali ya utulivu, vitality, na mawasiliano bora kati ya mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora
Passiflora incarnata
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa neva na utulivu wa mwili.
• Huchangia uwiano wa akili na hisia za kila siku.
• Husaidia mwili kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku.
• Huchangia relaxation na ustawi wa jumla.
• Husaidia vitality na afya ya mfumo wa endocrine.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa neva hutegemea terrain safi inayowezesha mawasiliano bora kati ya seli na mifumo ya mwili. Anxiety Formula hu-support mfumo wa lymphatic katika kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri uwiano wa mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usafirishaji wa virutubisho muhimu kwenye tishu mbalimbali. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, afya ya mfumo wa endocrine, na uwiano wa mfumo wa neva, fomula hii huchangia hali ya utulivu, vitality, na ustawi wa mwili na akili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta utulivu wa akili, uwiano wa hisia, na ustawi wa jumla wa mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock