AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Stress Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia mwili kudumisha uwiano wakati wa mahitaji makubwa ya kimwili na kiakili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano huwezesha mfumo wa neva na endocrine kufanya kazi kwa ufanisi, hivyo kuchangia vitality na ustawi wa jumla.
INGREDIENTS
Rhodiola rosea
Eleutherococcus senticosus
FAIDA
• Husaidia mwili kudumisha vitality wakati wa changamoto za kila siku.
• Huchangia afya ya mfumo wa neva na uwiano wa mwili.
• Husaidia afya ya mfumo wa endocrine.
• Huchangia uwezo wa mwili kuendana na mahitaji ya kimwili na kiakili.
• Husaidia ustawi wa jumla na nguvu za mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye terrain safi una uwezo mkubwa wa kudumisha uwiano wa ndani na kufanya kazi kwa ufanisi. Stress Support Formula hu-support mfumo wa lymphatic katika kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki ambazo zinaweza kuathiri mawasiliano ya kawaida ya mifumo ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usafirishaji wa virutubisho kwenye seli mbalimbali. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, afya ya mfumo wa endocrine, na uwiano wa mfumo wa neva, fomula hii huchangia vitality, resilience ya mwili, na ustawi wa jumla wakati wa mahitaji ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa neva na endocrine, wanaotafuta kudumisha vitality, uwiano wa mwili, na ustawi wa jumla wakati wa shughuli za kila siku.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock