AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
RELAX SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia mwili kudumisha utulivu wa asili na balance ya mfumo wa neva. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, utulivu wa mwili na akili ni sehemu muhimu ya terrain yenye afya inayowezesha mifumo mbalimbali ya mwili kufanya kazi kwa uwiano.
INGREDIENTS
Passiflora incarnata Tincture
Scutellaria lateriflora Tincture
FAIDA
• Husaidia kudumisha utulivu wa mwili na akili
• Huchangia afya ya mfumo wa neva
• Husaidia balance ya mwitikio wa mwili kwa changamoto za kila siku
• Huchangia ustawi wa mwili kwa ujumla
• Husaidia kuimarisha relaxation ya asili ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hujengwa kwa terrain safi na mifumo inayofanya kazi kwa ushirikiano. RELAX SUPPORT TINCTURE hu-support mfumo wa neva kwa kusaidia mazingira mazuri ya ndani ya mwili yanayowezesha utulivu na mawasiliano bora ya mifumo ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na virutubisho kwenye tishu mbalimbali, huku iki-support mfumo wa lymphatic katika michakato ya asili ya detoxification. Kwa kusaidia uwiano kati ya mfumo wa neva na endocrine, formula hii huchangia relaxation ya mwili, resilience na vitality ya kila siku kwa njia inayopatana na mahitaji ya mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support utulivu wa mwili, wanaotafuta kudumisha balance ya mfumo wa neva, au wanaotaka kuimarisha ustawi wa jumla wa mwili wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa au wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
NERVINE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock