AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
NERVINE SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba iliyoundwa kusaidia afya ya mfumo wa neva na kusaidia mwili kudumisha utulivu wa ndani. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mfumo wa neva wenye uwiano mzuri huchangia mawasiliano bora kati ya mifumo mbalimbali ya mwili na kusaidia vitality ya mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora Tincture
Avena sativa Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa neva
• Huchangia utulivu wa mwili na akili
• Husaidia kudumisha balance ya mwitikio wa mwili kwa changamoto za kila siku
• Huchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
• Husaidia kuimarisha mawasiliano bora ya mifumo wa mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hutegemea terrain safi na mifumo inayofanya kazi kwa uwiano. NERVINE SUPPORT TINCTURE hu-support mfumo wa neva kwa kusaidia mazingira mazuri ya ndani ya mwili yanayowezesha mawasiliano bora ya seli na tishu. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na virutubisho vinavyohitajika na mfumo wa neva, huku iki-support michakato ya asili ya detoxification ili kusaidia kupunguza mzigo wa taka mwilini. Kwa kuimarisha ushirikiano kati ya mfumo wa neva, endocrine na lymphatic, formula hii huchangia utulivu, resilience na vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta kuimarisha utulivu wa mwili, au wanaotaka kudumisha balance ya mifumo ya mwili kwa ujumla wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa au wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock