AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Sleep Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa neva na michakato ya asili ya mwili inayohusiana na mapumziko na urejeshaji wa nguvu. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, usingizi bora huimarika pale ambapo terrain ya mwili ipo katika hali safi na yenye uwiano, hivyo kusaidia vitality na ustawi wa jumla.
INGREDIENTS
Verbena officinalis
Eschscholzia californica
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa neva wakati wa mapumziko.
• Huchangia utulivu wa mwili na akili kabla ya usingizi.
• Husaidia mwili kudumisha mzunguko wa kawaida wa mapumziko.
• Huchangia urejeshaji wa vitality wakati wa usingizi.
• Husaidia ustawi wa jumla unaotegemea mapumziko ya kutosha.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, usingizi bora ni matokeo ya terrain iliyo safi na mifumo ya mwili inayofanya kazi kwa uwiano. Sleep Support Formula hu-support mfumo wa lymphatic katika kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri ustawi wa mfumo wa neva. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usafirishaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali za mwili. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, afya ya mfumo wa endocrine, na uwiano wa mfumo wa neva, fomula hii huchangia mazingira bora ya mwili kwa ajili ya mapumziko, vitality, na ustawi wa jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta kuboresha ubora wa mapumziko, na wanaotaka kudumisha vitality na ustawi wa jumla kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
NERVINE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock