AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
RELAX SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia mwili kudumisha utulivu wa asili na uwiano wa mfumo wa neva. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, utulivu wa ndani ni sehemu muhimu ya terrain yenye afya inayochangia ustawi wa mwili na mawasiliano bora kati ya mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Passiflora incarnata
Verbena officinalis
FAIDA
• Husaidia kudumisha utulivu wa mwili na akili
• Huchangia afya ya mfumo wa neva
• Husaidia balance ya mwili katika shughuli za kila siku
• Huchangia ustawi wa jumla wa mwili
• Husaidia kuimarisha relaxation ya asili ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa terrain safi na mifumo inayofanya kazi kwa uwiano. RELAX SUPPORT FORMULA hu-support mfumo wa neva kwa kusaidia mazingira bora ya ndani ya mwili yanayowezesha utulivu na mawasiliano mazuri ya seli na tishu. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usambazaji wa virutubisho katika mwili, huku iki-support mfumo wa lymphatic katika kuondoa taka za kimetaboliki kupitia michakato ya asili ya detoxification. Kwa kusaidia uwiano kati ya mfumo wa neva na endocrine, formula hii huchangia relaxation ya mwili, resilience na vitality ya kila siku kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support utulivu wa mwili, wanaotafuta kudumisha balance ya mfumo wa neva, au wanaotaka kuimarisha ustawi wa jumla wa mwili wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa au wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
NERVINE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock