AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Pineal Gland Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya tezi ya pineal na mfumo wa neva kwa ujumla. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya pineal gland huathiri uwiano wa mwili, utulivu wa akili, na mawasiliano ya mifumo mbalimbali ya mwili, hivyo kusaidia vitality na ustawi wa jumla.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora
Centella asiatica
FAIDA
• Husaidia afya ya tezi ya pineal na uwiano wa mwili.
• Huchangia utulivu wa mfumo wa neva na akili.
• Husaidia mwili kudumisha vitality na ustawi wa jumla.
• Huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali za mwili.
• Husaidia mwili katika michakato ya asili ya detoxification.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kuhakikisha terrain ya mwili ipo katika hali safi na yenye uwiano. Pineal Gland Formula husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kuchangia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri mawasiliano ya mifumo ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na virutubisho, jambo linalosaidia tishu mbalimbali kufanya kazi kwa ufanisi. Aidha, hu-support michakato ya asili ya detoxification, afya ya mfumo wa endocrine, na uwiano wa mfumo wa neva, mambo ambayo kwa pamoja huchangia vitality, utulivu wa mwili, na ustawi wa jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2-4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta kusaidia uwiano wa endocrine, wanaotaka ku-support detoxification ya mwili, au wanaotafuta kuongeza ustawi na vitality ya jumla kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock