AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
EMOTIONAL BALANCE SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ya tincture unaosaidia mwili kudumisha utulivu wa kihisia, usawa wa mfumo wa neva na uimara wa mwitikio wa mwili kwa msongo wa kila siku. Kulingana na Dr. Mittoh Terrain Philosophy, formula hii husaidia kuimarisha mazingira ya ndani ya mwili ili kusaidia harmony kati ya mfumo wa neva, endocrine na energy flow ya mwili. Huchangia hali ya utulivu na clarity ya kiakili kwa njia ya asili.
INGREDIENTS
Passiflora incarnata Tincture
Withania somnifera Tincture
FAIDA
• Husaidia kuimarisha utulivu wa mfumo wa neva kwa njia ya asili
• Huchangia usawa wa kihisia na kupunguza athari za msongo wa kila siku
• Husaidia kuboresha ubora wa usingizi na relaxation ya mwili
• Huchangia afya ya mfumo wa endocrine katika kusawazisha homoni za stress
• Husaidia kuimarisha uwezo wa mwili kukabiliana na pressure za kiakili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, emotional balance hutegemea usawa wa terrain ya ndani ya mwili ambapo mfumo wa neva, endocrine na lymphatic hushirikiana kwa karibu. Formula hii husaidia kusaidia nervous system katika kudhibiti overstimulation, huku pia ikichangia lymphatic flow kwa kusaidia mwili kuondoa mzigo wa msongo. Pia hu-support endocrine system kwa kusaidia balance ya cortisol na energy response ya mwili. Hii huimarisha uwezo wa mwili kudumisha utulivu, focus na emotional stability kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye msongo wa mawazo wa mara kwa mara, au wanaotaka kusaidia utulivu wa kihisia, usingizi bora na usawa wa mfumo wa neva kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa nyingine au wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock