AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Nervous System Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa neva, mawasiliano ya seli, na uwiano wa mwili kwa ujumla. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mfumo wa neva hufanya kazi vizuri zaidi pale ambapo terrain ya mwili ipo katika hali safi, yenye mzunguko mzuri wa virutubisho, na uwiano wa mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora
Avena sativa
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa neva kwa ujumla.
• Huchangia mawasiliano bora kati ya mifumo ya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa akili na mwili.
• Huchangia uwiano wa mfumo wa endocrine na neva.
• Husaidia mwili kudumisha utendaji wa kawaida wa kila siku.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa neva huanza kwa kuhakikisha terrain ya mwili ipo katika hali safi na yenye uwiano. Nervous System Supporting Formula hu-support mfumo wa lymphatic katika kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri mawasiliano ya kawaida ya neva. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na usafirishaji wa virutubisho muhimu kwenye tishu za mfumo wa neva. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, afya ya mfumo wa endocrine, na uwiano wa mfumo wa neva, fomula hii huchangia vitality, utendaji bora wa mwili, na ustawi wa jumla wa akili na mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta kudumisha vitality, uwiano wa mwili, na ustawi wa akili na mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock