AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Memory Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya ubongo, umakini, na uwezo wa mwili kuchakata taarifa kwa ufanisi. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora ya mfumo wa neva hutegemea terrain iliyo safi, mzunguko mzuri wa virutubisho, na uwiano wa mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Bacopa monnieri
Centella asiatica
FAIDA
• Husaidia afya ya kumbukumbu na uwezo wa kuzingatia.
• Huchangia utendaji bora wa mfumo wa neva.
• Husaidia uwiano wa akili na utulivu wa mwili.
• Huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho kwenye tishu za ubongo.
• Husaidia vitality na ustawi wa kiakili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, uwezo bora wa kumbukumbu na umakini huanza kwa kuhakikisha terrain ya mwili ipo katika hali safi na yenye uwiano. Memory Support Formula hu-support mfumo wa lymphatic katika kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki zinazoweza kuathiri mawasiliano ya kawaida ya mfumo wa neva. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na virutubisho vinavyohitajika na tishu za ubongo. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, afya ya mfumo wa endocrine, na uwiano wa mfumo wa neva, fomula hii huchangia utendaji bora wa akili, umakini, na vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha umakini, kumbukumbu, na afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta ku-support utendaji wa akili na ustawi wa kiakili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
SLEEP SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA UBONGO, USINGIZI NA HISIA (BRAIN, SLEEP & EMOTIONAL WELLNESS)
RELAX SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock