AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULAMAELEZO CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya seli kwa kuimarisha mazingira safi ya ndani ya mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, detoxification bora huchangia utendaji mzuri wa seli, matumizi sahihi ya virutubisho, na vitality ya mwili kwa ujumla. INGREDIENTS Arctium lappa Berberis aquifolium FAIDA • Husaidia afya ya seli kwa kusaidia usafishaji wa mwili wa asili • Huchangia detoxification inayosaidia mazingira bora ya ndani ya mwili • Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic na usafirishaji wa taka za mwili • Huchangia matumizi bora ya virutubisho katika seli • Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla JINSI INAVYOFANYA KAZI Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mwili huanza kwenye terrain safi inayoruhusu seli kufanya kazi kwa ufanisi. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic katika kusafirisha taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu mbalimbali za mwili. Pia huchangia circulation nzuri inayosaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye seli. Kwa kusaidia detoxification ya asili, mwili hupata mazingira yanayofaa kwa vitality na uwiano wa mifumo yake. Aidha, hu-support endocrine system na nervous system kwa kusaidia mawasiliano mazuri ya mwili, jambo linalochangia utendaji bora wa seli na ustawi wa muda mrefu. NAMNA YA KUTUMIA Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu. WANAOFAA KUTUMIA Watu wenye hamu ya kusaidia usafishaji wa mwili wa asili, afya ya seli, vitality ya mwili, na wale wanaotafuta kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili wanaweza kufaidika na formula hii. TAHADHARI Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa. Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
50 in stock
TSh 75,000
View product