AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
SPECIALIZED TUMOR TINCTURE 1 ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia ustawi wa seli na mifumo ya ndani ya mwili kwa kuimarisha balance ya terrain ya mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, mwili wenye mazingira safi na mtiririko mzuri wa vimiminika huchangia vitality na utendaji bora wa mifumo ya asili ya mwili.
INGREDIENTS
Trifolium pratense Tincture
Scrophularia nodosa Tincture
FAIDA
• Husaidia ustawi wa seli na tishu za mwili kwa ujumla.
• Huchangia balance ya mifumo ya ndani ya mwili.
• Husaidia mchakato wa asili wa detoxification ya mwili.
• Huchangia mtiririko mzuri wa vimiminika vya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mwili hutegemea sana terrain iliyo safi, yenye mtiririko mzuri wa vimiminika na usawa wa mifumo ya ndani. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya damu na vimiminika vya mwili ili kuimarisha mazingira ya seli na tishu. Kwa kuimarisha endocrine system, huchangia balance ya mwili, huku nervous system ikisaidiwa kudumisha utulivu na coordination ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha ustawi wa seli, ku-support balance ya mwili, na kudumisha detoxification ya asili pamoja na vitality ya mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M TINCTURETSh 75,000
In stock