AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
SPECIALIZED TUMOR TINCTURE 2 ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia ustawi wa seli na mifumo ya asili ya mwili inayohusiana na balance ya ndani na vitality. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya mwili hutegemea uwezo wa terrain kudumisha usafi, mtiririko mzuri wa vimiminika na mawasiliano bora kati ya mifumo ya mwili.
INGREDIENTS
Viscum album Tincture
Taraxacum officinale Tincture
FAIDA
• Husaidia ustawi wa seli na mazingira ya ndani ya mwili.
• Huchangia balance ya mifumo ya mwili kwa ujumla.
• Husaidia mchakato wa asili wa detoxification ya mwili.
• Huchangia mtiririko mzuri wa vimiminika vya mwili.
• Husaidia vitality na nguvu za asili za mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mwili hutegemea sana terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri wa mifumo ya ndani. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu mbalimbali na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya vimiminika vya mwili ili kuimarisha mazingira ya seli na utendaji wa mwili kwa ujumla. Kwa ku-support endocrine system, huchangia balance ya mwili, huku pia nervous system ikisaidiwa kudumisha utulivu na coordination ya mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha ustawi wa seli, kudumisha balance ya mwili, na ku-support detoxification ya asili pamoja na vitality ya mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M TINCTURETSh 75,000
In stock