AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya seli na mazingira bora ya mwili yanayohitajika kwa ukuaji na uhuishaji wa tishu. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya seli hutegemea usafi wa terrain ya mwili, mzunguko mzuri wa virutubisho, na uwiano wa mifumo muhimu inayosaidia vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Scutellaria baicalensis Tincture
Astragalus membranaceus Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya seli na tishu za mwili
• Huchangia vitality na uimara wa mwili kwa ujumla
• Husaidia kudumisha mazingira bora ya mwili kwa ukuaji wa seli
• Huchangia usawa wa mifumo inayohusika na uhuishaji wa mwili
• Husaidia afya ya mwili kwa kusaidia matumizi bora ya virutubisho
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya seli huimarika pale terrain ya mwili inapokuwa safi na yenye uwiano mzuri wa mifumo mbalimbali. Formula hii husaidia ku-support lymphatic system ili kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki na kudumisha mazingira bora ya seli. Pia huchangia circulation nzuri inayosaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali za mwili. Kwa kusaidia detoxification ya asili, mwili hupata mazingira yanayofaa kwa vitality na uhuishaji wa seli. Aidha, hu-support endocrine system na nervous system ambazo huchangia mawasiliano na uratibu muhimu wa shughuli za mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya seli, vitality ya mwili, uimara wa tishu, na wale wanaotafuta msaada wa asili wa kudumisha mazingira bora ya mwili kwa ustawi wa muda mrefu wanaweza kutumia formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE G SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock