AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
PARASITE M TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuimarisha vitality ya mwili. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, mwili wenye terrain safi na yenye balance huweza ku-support afya bora ya mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
• Artemisia absinthium Tincture
• Juglans nigra Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya utumbo.
• Husaidia michakato ya asili ya detoxification mwilini.
• Huchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
• Husaidia kuimarisha balance ya mazingira ya ndani ya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hutegemea terrain safi inayowezesha seli na mifumo mbalimbali kufanya kazi kwa ufanisi. PARASITE M TINCTURE husaidia ku-support usafi wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuchangia mazingira bora ya ndani ya mwili. Aidha, hu-support mfumo wa lymphatic katika mchakato wa kuondoa mabaki yasiyohitajika, huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho na maji mwilini, na kusaidia michakato ya asili ya detoxification. Pia hu-support balance ya mfumo wa endocrine na nervous system kwa kusaidia mazingira ya ndani yenye afya yanayochangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia usafi wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, kuimarisha detoxification ya asili ya mwili, na kudumisha mazingira bora ya ndani yanayochangia vitality na ustawi wa mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE G SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock