AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
PARASITE G FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuimarisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, terrain iliyo safi na yenye balance huwezesha mifumo ya mwili kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kusaidia vitality ya asili.
INGREDIENTS
• Artemisia maritima
• Picrasma excelsa
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya utumbo.
• Husaidia michakato ya asili ya detoxification mwilini.
• Huchangia balance ya mazingira ya ndani ya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hujengwa kwa kudumisha terrain safi inayowezesha mwili kujisimamia kwa ufanisi. PARASITE G FORMULA husaidia ku-support afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa kuchangia usafi wa mazingira ya ndani na utoaji wa mabaki yasiyohitajika. Aidha, hu-support mfumo wa lymphatic katika mchakato wa detoxification na kusaidia mzunguko mzuri wa maji pamoja na virutubisho mwilini. Mazingira bora ya ndani huchangia balance ya mfumo wa endocrine na nervous system, hali inayosaidia vitality, ustawi wa mwili na uwezo wa mifumo mbalimbali kufanya kazi kwa uwiano unaohitajika.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, kudumisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili, na wanaotafuta ku-support detoxification ya asili pamoja na vitality ya mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M TINCTURETSh 75,000
In stock