AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
INTERSTITIAL SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia afya ya interstitial terrain, mazingira muhimu yanayozunguka seli za mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mazingira safi ya ndani ya mwili huchangia usafirishaji bora wa virutubisho, uondoaji wa taka za kimetaboliki, na utendaji mzuri wa seli mbalimbali za mwili.
INGREDIENTS
Ceanothus americanus
Galium aparine
FAIDA
• Husaidia afya ya mazingira yanayozunguka seli za mwili
• Huchangia usafirishaji bora wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali
• Husaidia mzunguko mzuri wa majimaji ya mwili
• Huchangia detoxification ya asili kupitia mifumo ya uondoaji taka mwilini
• Husaidia vitality na ustawi wa jumla wa mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kuhakikisha terrain ya mwili inakuwa safi na yenye uwiano mzuri. INTERSTITIAL SUPPORT FORMULA husaidia ku-support mtiririko wa mfumo wa lymphatic ambao ni muhimu katika kuondoa taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu. Pia huchangia mzunguko mzuri wa majimaji na virutubisho kati ya seli na mazingira yanayozizunguka. Mfumo huu huimarisha detoxification ya asili ya mwili na kusaidia mawasiliano bora ya seli. Aidha, hu-support mifumo ya endocrine na nervous system kwa kusaidia mazingira ya ndani ya mwili kuwa katika hali inayowezesha utendaji wake wa kawaida na wenye uwiano.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye uhitaji wa kuimarisha afya ya terrain ya mwili, kusaidia mzunguko wa majimaji, detoxification ya asili, na ustawi wa jumla wa mifumo mbalimbali ya mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M TINCTURETSh 75,000
In stock