AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Interstitial Support Tincture ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya interstitial terrain, mazingira ya seli na usafirishaji wa virutubisho ndani ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza pale ambapo mzunguko wa maji ya mwili, lymphatic system na mazingira ya tishu vinakuwa katika uwiano mzuri unaounga mkono vitality ya mwili.
INGREDIENTS
Galium aparine Tincture
Ceanothus americanus Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic na mtiririko wake wa kawaida
• Huchangia usafirishaji bora wa virutubisho kwenye tishu za mwili
• Husaidia kuimarisha mazingira mazuri ya seli na interstitial terrain
• Huchangia mzunguko mzuri wa maji ya mwili na detoxification ya asili
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mwili hutegemea ubora wa terrain ya ndani inayozunguka seli. Interstitial Support Tincture hu-support uwiano wa mazingira ya tishu kwa kusaidia mtiririko wa mfumo wa lymphatic, mzunguko wa majimaji ya mwili na michakato ya asili ya detoxification. Mfumo huu huchangia usafirishaji wa virutubisho na uondoaji wa taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu. Pia hu-support mzunguko wa kawaida wa damu na mawasiliano mazuri kati ya mifumo mbalimbali ya mwili. Kwa kusaidia mazingira bora ya seli, mwili huweza kudumisha vitality, balance na utendaji wa kawaida wa mifumo yake muhimu.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic, kusaidia detoxification ya asili ya mwili, kuboresha vitality na kudumisha mazingira mazuri ya tishu na seli za mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M TINCTURETSh 75,000
In stock