AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
PARASITE M FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili na afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, terrain safi na yenye balance huchangia utendaji bora wa mifumo mbalimbali ya mwili na kusaidia vitality ya muda mrefu.
INGREDIENTS
• Artemisia annua
• Juglans cinerea
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya utumbo.
• Husaidia michakato ya asili ya detoxification mwilini.
• Huchangia balance ya mazingira ya ndani ya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya huanza na terrain safi inayowezesha seli na mifumo ya mwili kufanya kazi kwa ufanisi. PARASITE M FORMULA husaidia ku-support afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Aidha, hu-support mfumo wa lymphatic katika kuondoa mabaki yasiyohitajika na kusaidia mzunguko mzuri wa maji na virutubisho mwilini. Huchangia michakato ya asili ya detoxification na kuimarisha mazingira yanayosaidia balance ya mwili. Pia hu-support mfumo wa endocrine na nervous system kwa kusaidia terrain yenye afya inayochangia vitality, ustawi na uwezo bora wa mwili kujirekebisha kiasili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, kuimarisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili, na wanaotafuta ku-support detoxification ya asili pamoja na vitality ya mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR DETOX SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
CELLULAR PROLIFERATION SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE M TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA SELI NA MSAADA MAALUMU (CELLULAR & SPECIALTY SUPPORT)
PARASITE G SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock