AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULAMAELEZO PANCREAS SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioandaliwa kusaidia afya ya kongosho na kuimarisha usawazishaji wa mfumo wa endocrine. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, utendaji bora wa kongosho hutegemea mazingira safi ya ndani ya mwili, mzunguko mzuri wa virutubisho, na uwezo wa mwili kuondoa taka zisizohitajika. INGREDIENTS Gymnema sylvestre Coptis chinensis FAIDA • Husaidia afya ya kongosho na utendaji wake wa kawaida • Huchangia usawazishaji wa mfumo wa endocrine • Husaidia mwili kutumia virutubisho kwa ufanisi zaidi • Huchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla • Husaidia kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili JINSI INAVYOFANYA KAZI Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya kongosho huathiriwa na ubora wa terrain ya mwili na uwezo wake wa kudumisha uwiano wa ndani. Mfumo huu hu-support lymphatic system kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu mbalimbali. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu ambao huwezesha usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwa seli za mwili. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, mwili huweza kudumisha mazingira yanayofaa kwa utendaji wa kawaida wa kongosho. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ambao hushirikiana katika kuratibu mawasiliano muhimu ya mwili na kusaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla. NAMNA YA KUTUMIA Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu. WANAOFAA KUTUMIA Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya kongosho, wanaotaka kusaidia usawazishaji wa mfumo wa endocrine, na wanaotafuta njia ya asili ya ku-support vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla. TAHADHARI Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa. Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
50 in stock
TSh 75,000
View product