AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LIVER AND GALLBLADDER SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya ini na gallbladder kama sehemu muhimu za mfumo wa uondoaji taka wa mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, utendaji mzuri wa viungo hivi huchangia mazingira safi ya ndani ya mwili na kusaidia vitality pamoja na balance ya mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Chelidonium majus
Berberis vulgaris
FAIDA
• Husaidia afya ya ini na gallbladder kwa ujumla.
• Huchangia mchakato wa asili wa detoxification ya mwili.
• Husaidia kuimarisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
• Huchangia mtiririko mzuri wa vimiminika vya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye terrain safi huweza kusimamia taka za kimetaboliki kwa ufanisi zaidi. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu mbalimbali kuelekea kwenye njia za uondoaji. Pia huchangia circulation bora ya vimiminika vya mwili na kusaidia detoxification ya asili inayohusishwa na afya ya ini na gallbladder. Kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani ya mwili, formula hii hu-support mfumo wa endocrine na nervous system kwa njia isiyo ya moja kwa moja, jambo linalochangia balance, vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya ini na gallbladder, wanaotaka ku-support mchakato wa asili wa detoxification, au wanaotafuta kudumisha vitality na usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock