AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Colon Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa utumbo mkubwa kwa kuimarisha mazingira bora ya ndani ya mwili (terrain). Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, afya ya colon ina mchango muhimu katika usimamizi wa taka za kimetaboliki, usafi wa ndani wa mwili, na ustawi wa mifumo mingine ya mwili.
INGREDIENTS
Rumex crispus
Ulmus rubra
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa utumbo mkubwa
• Huchangia uondoaji wa kawaida wa taka za mwili
• Husaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili
• Huchangia afya ya mmeng’enyo wa chakula kwa ujumla
• Husaidia vitality ya mwili kupitia usimamizi bora wa taka za kimetaboliki
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, colon yenye afya ni sehemu muhimu ya terrain safi na yenye usawa. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia uondoaji wa taka zinazoweza kuathiri ustawi wa mwili. Pia huchangia circulation bora inayosaidia usafirishaji wa virutubisho na uchukuaji wa taka za kimetaboliki. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, mwili hupata mazingira bora ya kufanya kazi kwa ufanisi. Formula hii pia hu-support usawa wa endocrine kwa njia isiyo ya moja kwa moja kupitia mazingira safi ya ndani, huku ikichangia utulivu wa mfumo wa neva unaohusiana na afya ya mmeng’enyo wa chakula na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hitaji la ku-support afya ya colon, wanaotaka kuimarisha usafi wa ndani wa mwili, na wale wanaolenga kuboresha ustawi wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kama sehemu ya maisha yenye afya.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock