AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
GI BROOM TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya njia ya chakula. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mfumo wa chakula wenye uwiano mzuri ni msingi muhimu wa ufyonzwaji wa virutubisho, detoxification na vitality ya mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Ulmus rubra Tincture
Rumex crispus Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
• Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya njia ya chakula
• Husaidia ufyonzwaji bora wa virutubisho mwilini
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain safi huanza na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula unaofanya kazi kwa uwiano. GI BROOM TINCTURE hu-support afya ya njia ya chakula kwa kusaidia mazingira bora ya ndani yanayowezesha usafirishaji mzuri wa mabaki ya kimetaboliki na ufyonzwaji wa virutubisho. Pia huchangia mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafi wa tishu zinazozunguka mfumo wa chakula na hu-support michakato ya asili ya detoxification. Mzunguko mzuri wa damu na virutubisho huimarishwa, jambo linalochangia uwiano wa mfumo wa endocrine na neva, na kusaidia vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, wanaotaka kusaidia usafi wa njia ya chakula, au wanaotafuta kuimarisha ufyonzwaji wa virutubisho na vitality ya mwili wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
LIVER & GALLBLADER SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock