AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
LIVER AND GALLBLADDER SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya ini na gallbladder kama sehemu muhimu za mfumo wa asili wa uondoaji taka wa mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, mazingira safi ya ndani ya mwili huchangia utendaji bora wa viungo na mifumo mbalimbali inayohusika na vitality na ustawi wa mwili.
INGREDIENTS
Chelidonium majus Tincture
Berberis vulgaris Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya ini na gallbladder kwa ujumla.
• Huchangia mchakato wa asili wa detoxification ya mwili.
• Husaidia kuimarisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
• Huchangia mtiririko mzuri wa vimiminika vya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza pale ambapo terrain ya mwili inakuwa safi na yenye uwiano mzuri. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu mbalimbali na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya vimiminika vya mwili, jambo linalounga mkono mazingira bora ya utendaji wa seli na tishu. Kwa kusaidia afya ya ini na gallbladder, formula hii huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili na hu-support endocrine system kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Aidha, hu-support nervous system kwa kusaidia mwili kudumisha balance na vitality ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya ini na gallbladder, wanaotaka ku-support detoxification ya asili ya mwili, au wanaotafuta kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock