AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
PANCREAS SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mimea ulioundaliwa kusaidia afya ya kongosho na kuimarisha mazingira bora ya ndani ya mwili. Kwa mujibu wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, kongosho hufanya kazi kwa ufanisi zaidi pale ambapo mfumo wa lymphatic, mzunguko wa damu na michakato ya asili ya uondoaji taka inakuwa katika uwiano mzuri.
INGREDIENTS
Gymnema sylvestre Tincture
Coptis chinensis Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya kongosho na utendaji wake wa kawaida
• Huchangia usawazishaji wa mfumo wa endocrine
• Husaidia matumizi bora ya virutubisho mwilini
• Huchangia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla
• Husaidia kudumisha mazingira bora ya ndani ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya kongosho inategemea ubora wa terrain ya mwili na uwezo wake wa kudumisha mazingira safi ya ndani. Mfumo huu hu-support lymphatic system kwa kusaidia usafirishaji wa taka za kimetaboliki kutoka kwenye tishu mbalimbali. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu unaosaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwa seli za mwili. Kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification, mwili huweza kudumisha uwiano unaohitajika kwa utendaji wa kawaida wa kongosho. Aidha, hu-support mfumo wa endocrine na mfumo wa neva ambao hushirikiana katika kuratibu mawasiliano muhimu ya mwili na kusaidia vitality kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya kongosho, wanaotaka kusaidia usawazishaji wa mfumo wa endocrine, na wanaotafuta njia ya asili ya ku-support vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
LIVER & GALLBLADER SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock