AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Liver Cleanse Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ya asili iliyoundwa kusaidia ustawi wa ini kwa mtazamo wa Terrain Philosophy ya Dr. Mittoh. Husaidia mwili katika mchakato wa asili wa usafishaji wa sumu kupitia viungo vya detox na mifumo ya ndani ya mwili. Huchangia katika kusaidia balance ya mfumo wa ndani na vitality ya jumla ya mwili.
INGREDIENTS
Schisandra chinensis
Picrorhiza kurroa
FAIDA
• Husaidia afya ya ini kwa kusaidia natural detox pathways
• Huchangia usawa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
• Husaidia mwili katika mchakato wa kuondoa sumu kwa njia ya asili
• Huchangia uimara wa mwili na kupunguza uchovu wa mara kwa mara
• Husaidia kuboresha vitality ya jumla ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, formula hii inafanya kazi kwa kuimarisha Terrain ya mwili kupitia kusaidia mtiririko wa lymphatic, circulation na ufanisi wa mifumo ya detoxification ya asili. Ini linapopata support sahihi, mwili huongeza uwezo wa kusafisha mabaki ya metabolic waste. Aidha, huchangia balance ya endocrine system na kuimarisha nervous system ili kusaidia homeostasis ya mwili na kuongeza energy flow kwa njia ya asili na ya usawa.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye changamoto za uchovu wa mara kwa mara, uzito wa mwili kupita kiasi, au wanaotaka kusaidia afya ya ini na mfumo wa detox kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock