AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
GI BROOM FORMULA ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa kuchangia usafi wa mazingira ya ndani ya utumbo. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, afya bora huanza kwa kusaidia njia za asili za utoaji taka ili mwili uweze kudumisha balance, vitality na matumizi bora ya virutubisho.
INGREDIENTS
• Rheum palmatum
• Rumex crispus
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia usafishaji wa taka za mwili kupitia njia za asili.
• Husaidia kuimarisha mazingira mazuri ya ndani ya utumbo.
• Huchangia mzunguko mzuri wa virutubisho na utoaji wa mabaki yasiyohitajika.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye afya hutegemea mazingira safi ya ndani (terrain) yanayowezesha mifumo yote kufanya kazi kwa ufanisi. GI BROOM FORMULA husaidia ku-support njia za asili za utoaji taka kwa kuchangia usafi wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Aidha, husaidia afya ya mfumo wa lymphatic kwa kusaidia uondoaji wa mabaki yasiyohitajika, hu-support mzunguko mzuri wa maji na virutubisho mwilini, na kuchangia michakato ya detoxification ya asili. Mfumo wa endocrine na nervous system pia hufaidika kutokana na mazingira bora ya ndani yanayosaidia mwili kudumisha balance na vitality.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, wanaotaka kuimarisha usafi wa mazingira ya ndani ya utumbo, au wanaotafuta ku-support michakato ya asili ya detoxification na vitality ya mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
PANCREAS SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA (DIGESTIVE HEALTH)
LIVER & GALLBLADER SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock