Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
STRESS RELIEF TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva na kuchangia utulivu wa mwili na akili kwa njia ya asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo katika uwiano mzuri pamoja na mifumo ya mwili inayofanya kazi kwa ufanisi huchangia resilience, vitality na ustawi wa kila siku.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora
Passiflora incarnata
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa neva.
• Huchangia utulivu wa mwili na akili.
• Husaidia kudumisha balance ya mfumo wa endocrine.
• Huchangia mzunguko mzuri wa damu.
• Husaidia kuongeza vitality na ustawi wa mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri huweza kukabiliana vyema na changamoto za kila siku. STRESS RELIEF TEA hu-support afya ya mfumo wa neva kwa kusaidia uratibu wa kawaida wa shughuli za mwili na akili. Pia huchangia balance ya mfumo wa endocrine, ambao una jukumu muhimu katika kudumisha uwiano wa mwili. Hu-support afya ya mfumo wa lymphatic kupitia michakato ya kawaida ya detoxification na huimarisha mzunguko wa damu ili kusaidia usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali. Ushirikiano wa mifumo hii huchangia utulivu, vitality na ustawi wa mwili kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya mfumo wa neva, wanaotaka kudumisha utulivu wa mwili na akili, pamoja na kuimarisha vitality na balance ya mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.