Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Nettle Tea ni chai ya asili inayosaidia kuimarisha afya ya mwili kwa kuchangia upatikanaji wa virutubisho vya asili na kusaidia mifumo muhimu ya mwili kufanya kazi kwa ufanisi. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, chai hii huchangia kuboresha mazingira ya ndani ya mwili (terrain) kwa kusaidia mzunguko wa majimaji, usafishaji wa mwili na ustawi wa jumla.
INGREDIENTS
Urtica dioica
Avena sativa
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Husaidia kuimarisha mzunguko wa kawaida wa damu na majimaji mwilini.
• Huchangia afya ya mfumo wa endocrine na ustawi wa mwili kwa ujumla.
• Husaidia kuimarisha vitality na nguvu za mwili kwa matumizi ya kila siku.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye terrain bora huweza kudumisha afya na ustawi kwa ufanisi zaidi. Nettle Tea huchangia kuimarisha mtiririko wa mfumo wa lymphatic ili kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki na kudumisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Pia hu-support mzunguko mzuri wa damu na majimaji, jambo linalochangia usambazaji wa virutubisho katika tishu mbalimbali. Michakato ya kawaida ya detoxification huimarishwa huku mfumo wa endocrine ukiungwa mkono katika kudumisha uwiano wa homoni. Aidha, chai hii huchangia afya ya mfumo wa neva na kuongeza ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Loweka kijiko 1 cha chai kwenye maji ya moto kwa dakika 5–10, kisha kunywa kikombe 1–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotafuta kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla, kusaidia mfumo wa lymphatic, kuongeza ulaji wa virutubisho vya asili na kudumisha vitality katika shughuli za kila siku.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi. Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.