Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Black Walnut Tea ni chai ya mitishamba inayosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, huchangia kuimarisha terrain ya mwili kwa kusaidia detoxification ya asili, mzunguko wa virutubisho na vitality ya kila siku.
INGREDIENTS
Juglans nigra
Artemisia vulgaris
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia usafi wa mazingira ya utumbo na njia ya chakula.
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic kwa kusaidia detoxification ya asili.
• Huchangia mzunguko mzuri wa damu na usambazaji wa virutubisho mwilini.
• Husaidia kuimarisha vitality na ustawi wa mwili kwa matumizi ya kila siku.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye mazingira safi ya ndani huweza kutumia virutubisho kwa ufanisi na kudumisha afya ya seli. Black Walnut Tea huchangia kuimarisha mfumo wa lymphatic ili kusaidia uondoaji wa taka za mwili kupitia detoxification ya asili. Pia hu-support mzunguko mzuri wa damu ili virutubisho na oksijeni vifike kwenye tishu kwa ufanisi. Kwa kusaidia usawa wa mfumo wa endocrine na mazingira tulivu ya mfumo wa neva, chai hii huchangia afya ya mmeng'enyo wa chakula, vitality ya mwili na ustawi wa jumla kwa matumizi endelevu.
NAMNA YA KUTUMIA
Andaa chai kwa kuchemsha kwenye maji ya moto na unywe kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, kuimarisha usafi wa mazingira ya utumbo, kusaidia detoxification ya mwili na kudumisha vitality kwa kutumia mitishamba ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.