Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Red Raspberry Leaf Tea ni chai ya mitishamba inayosaidia kuimarisha afya ya mwili kwa kuupa virutubisho vya asili vinavyochangia ustawi wa mifumo mbalimbali ya mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, huchangia mazingira bora ya mwili kwa kusaidia mzunguko wa virutubisho, usawa wa mfumo wa endocrine na vitality ya kila siku.
INGREDIENTS
Rubus idaeus
Trifolium pratense
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa njia ya asili.
• Huchangia usawa wa mfumo wa endocrine na utendaji wa tezi mbalimbali.
• Husaidia kuimarisha mzunguko mzuri wa damu na usambazaji wa virutubisho mwilini.
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic kwa kusaidia uondoaji wa taka za mwili.
• Husaidia kuongeza vitality na ustawi wa mwili kwa matumizi ya kila siku.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kujenga mazingira mazuri ya ndani ya mwili (terrain) yanayowezesha seli kufanya kazi kwa ufanisi. Red Raspberry Leaf Tea huchangia kuimarisha mfumo wa lymphatic ili kusaidia uondoaji wa taka za mwili na kusaidia detoxification ya asili. Pia hu-support mzunguko mzuri wa damu ili virutubisho na oksijeni vifike kwenye tishu kwa ufanisi. Kwa kuimarisha usawa wa mfumo wa endocrine na kuupa mfumo wa neva mazingira tulivu, chai hii huchangia vitality, ustahimilivu wa mwili na afya ya jumla kwa matumizi endelevu.
NAMNA YA KUTUMIA
Andaa chai kwa kuchemsha kwenye maji ya moto na unywe kikombe 1–2 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa uzazi, kusaidia usawa wa homoni, kuongeza vitality ya mwili na kudumisha afya ya jumla kwa kutumia mitishamba ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.