Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
SLIPPERY ELM TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kudumisha afya ya utando wa mfumo wa mmeng'enyo na njia nyingine za mwili zinazohitaji ulinzi wa asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh Terrain Philosophy, huchangia kuimarisha terrain ya mwili kwa ku-support mfumo wa lymphatic na michakato ya asili ya detoxification ili kuboresha ustawi wa mwili.
INGREDIENTS
Ulmus rubra
Plantago major
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Husaidia michakato ya asili ya detoxification ya mwili.
• Huchangia kudumisha afya ya utando wa mwili na usawa wa mazingira ya ndani.
• Husaidia kuimarisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye terrain iliyo safi na yenye uwiano huweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. SLIPPERY ELM TEA husaidia ku-support mfumo wa lymphatic ili kuchangia uondoaji wa taka za kimetaboliki kupitia michakato ya asili ya detoxification. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu na maji mwilini, hivyo kusaidia usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support afya ya mfumo wa endocrine kwa kudumisha mazingira yanayofaa kwa utendaji wa tezi pamoja na kusaidia mfumo wa neva kufanya kazi kwa utulivu na uwiano, na hivyo kuimarisha vitality ya mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotaka kuimarisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo, kusaidia afya ya mfumo wa lymphatic, kudumisha utando wa mwili na kuendeleza detoxification ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.