Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
SLEEP TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha utulivu wa mwili na akili, huku ukichangia mazingira yanayofaa kwa usingizi wa asili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, usingizi bora huchangiwa na uwiano mzuri wa mfumo wa neva, mzunguko wa mwili na terrain iliyo katika hali ya usawaziko.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora
Passiflora incarnata
FAIDA
• Husaidia kuimarisha utulivu wa mfumo wa neva.
• Huchangia usingizi wa asili wenye ubora zaidi.
• Husaidia kupunguza hisia za uchovu wa akili baada ya shughuli za kila siku.
• Huchangia mwili kupata muda mzuri wa kupumzika na kujirejesha.
• Husaidia kudumisha balance ya mwili inayounga mkono afya na vitality.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, usingizi bora huanza kwa kuwa na terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri wa mifumo ya mwili. Sleep Tea husaidia ku-support afya ya mfumo wa neva ili mwili uwe katika hali ya utulivu, huku ikichangia mzunguko mzuri wa damu na mtiririko wa lymphatic unaosaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki. Pia hu-support michakato ya asili ya detoxification na huchangia uwiano wa mfumo wa endocrine unaohusika na mizunguko ya kupumzika na kuamka. Mifumo hii inapofanya kazi kwa maelewano, mwili hupata mazingira yanayounga mkono usingizi wa asili na urejeshwaji wa nguvu.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku, hasa dakika 30–60 kabla ya kulala, au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye changamoto za kupata utulivu wakati wa jioni, wanaotamani kuboresha ubora wa usingizi wa asili, au wanaotafuta msaada wa mimea kwa ajili ya ku-support afya ya mfumo wa neva na kupumzika kwa mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.