Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
SKULLCAP TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva na kuchangia utulivu wa mwili na akili. Kwa mtazamo wa falsafa ya Dr. Mittoh, mwili wenye terrain iliyo katika uwiano mzuri huweza kudumisha vitality, resilience na utendaji bora wa mifumo mbalimbali ya mwili.
INGREDIENTS
Scutellaria lateriflora
Avena sativa
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa neva.
• Husaidia kudumisha utulivu wa mwili na akili.
• Huchangia relaxation ya mwili baada ya shughuli za kila siku.
• Husaidia kuboresha ustawi wa mwili wakati wa uchovu wa kawaida.
• Huchangia kudumisha balance ya mwili kwa kusaidia vitality ya mfumo wa neva.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora huanza kwa kuboresha terrain ya mwili ili mifumo yote iweze kufanya kazi kwa uwiano. SKULLCAP TEA husaidia ku-support mfumo wa neva kwa kushirikiana na michakato ya asili ya mwili, huku ikichangia mtiririko mzuri wa damu unaosaidia usambazaji wa virutubisho. Pia huchangia afya ya mfumo wa lymphatic kwa kusaidia detoxification ya kawaida ya mwili na kuimarisha mazingira ya ndani ya seli. Aidha, hu-support uwiano wa mfumo wa endocrine na kusaidia mawasiliano mazuri kati ya mfumo wa neva na viungo mbalimbali kwa ajili ya vitality na ustawi wa mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa neva, wanaotafuta kudumisha utulivu wa mwili na akili, pamoja na wanaotaka ku-support vitality na balance ya mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.