Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
SINUS TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia afya ya mfumo wa upumuaji wa juu na kuchangia usafi wa kawaida wa njia za hewa. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye uwiano mzuri pamoja na mfumo wa lymphatic unaofanya kazi vizuri huchangia ustawi wa mfumo wa upumuaji na vitality ya mwili.
Ingredients
Euphrasia officinalis
Verbascum thapsus
FAIDA
• Husaidia afya ya njia za hewa za juu.
• Huchangia usafi wa kawaida wa mfumo wa upumuaji.
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia mzunguko mzuri wa majimaji mwilini.
• Husaidia kuongeza ustawi wa mfumo wa upumuaji kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa upumuaji huanza kwa terrain iliyo safi na mazingira ya ndani ya mwili yaliyo katika uwiano mzuri. SINUS TEA hu-support afya ya mfumo wa lymphatic kwa kuchangia michakato ya kawaida ya detoxification na mtiririko mzuri wa majimaji mwilini. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu ili kurahisisha usambazaji wa virutubisho kwenye tishu za mfumo wa upumuaji. Aidha, hu-support balance ya mfumo wa endocrine na afya ya mfumo wa neva, ambayo huchangia uratibu mzuri wa shughuli mbalimbali za mwili. Ushirikiano wa mifumo hii husaidia kudumisha ustawi wa njia za hewa na vitality ya mwili kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya ku-support afya ya njia za hewa za juu, wanaotaka kudumisha usafi wa kawaida wa mfumo wa upumuaji na kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.