Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
REJUVENATION TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha vitality ya mwili na kuchangia afya ya mifumo mbalimbali kwa kudumisha terrain iliyo katika uwiano mzuri. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili wenye mazingira safi ya ndani huweza kutumia virutubisho kwa ufanisi, kudumisha nguvu za asili na ustawi wa muda mrefu.
INGREDIENTS
Withania somnifera
Schisandra chinensis
FAIDA
• Husaidia kuongeza vitality na nguvu za mwili.
• Huchangia kudumisha balance ya mfumo wa endocrine.
• Husaidia afya ya mfumo wa neva.
• Huchangia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Husaidia kudumisha mzunguko mzuri wa damu.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, rejuvenation huanza kwa kujenga terrain iliyo safi na yenye uwiano ili mifumo yote ya mwili ifanye kazi kwa ufanisi. REJUVENATION TEA hu-support afya ya mfumo wa lymphatic kwa kuchangia michakato ya kawaida ya detoxification na kudumisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu kwa ajili ya usambazaji wa virutubisho na oksijeni kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support balance ya mfumo wa endocrine na afya ya mfumo wa neva ili kuratibu shughuli za mwili kwa ufanisi. Ushirikiano wa mifumo hii husaidia kuongeza vitality, resilience na ustawi wa mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha vitality, wanaotaka ku-support afya ya mfumo wa neva, mfumo wa endocrine na detoxification ya kawaida ya mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.