Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Chamomile Tea ni chai ya asili inayosaidia kuimarisha utulivu wa mwili na akili pamoja na afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, huchangia kuboresha mazingira ya ndani ya mwili (terrain) kwa kusaidia mifumo ya neva, mzunguko wa majimaji na usawazishaji wa utendaji wa mwili.
INGREDIENTS
Matricaria chamomilla
Passiflora incarnata
FAIDA
• Husaidia kuimarisha utulivu wa mfumo wa neva.
• Huchangia kupata usingizi wa asili wenye ubora.
• Husaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
• Huchangia kuimarisha mzunguko wa kawaida wa mfumo wa lymphatic.
• Husaidia ustawi wa mwili kwa kusaidia michakato ya asili ya detoxification.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora hutegemea mazingira safi na yenye uwiano ndani ya mwili (terrain). Chamomile Tea husaidia kuimarisha mfumo wa lymphatic ili kusaidia uondoaji wa taka za kimetaboliki na kudumisha mzunguko mzuri wa majimaji mwilini. Aidha, huchangia mzunguko mzuri wa damu na kusaidia michakato ya kawaida ya detoxification. Kwa kusaidia mfumo wa neva kupata utulivu, mwili hupata nafasi nzuri ya kurejesha nguvu zake za kawaida. Pia hu-support uwiano wa mfumo wa endocrine ili kuimarisha mawasiliano ya kawaida kati ya homoni na mifumo mbalimbali ya mwili.
NAMNA YA KUTUMIA
Loweka kijiko 1 cha chai kwenye maji ya moto kwa dakika 5–10, kisha kunywa kikombe 1–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye wanaotafuta utulivu wa mwili na akili, wanaopendelea chai ya asili ya kila siku, au wanaotaka kuimarisha afya ya mfumo wa neva na mmeng'enyo wa chakula kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.