Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
RED CLOVER TEA ni mchanganyiko wa mimea unaosaidia kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na mfumo wa endocrine kwa kuchangia uwiano wa kawaida wa mwili. Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain iliyo safi na yenye balance nzuri huwezesha mwili kudumisha detoxification ya asili, vitality na ustawi wa mifumo mbalimbali.
INGREDIENTS
Trifolium pratense
Arctium minus
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa lymphatic.
• Huchangia balance ya mfumo wa endocrine.
• Husaidia detoxification ya kawaida ya mwili.
• Huchangia afya ya ngozi kwa kusaidia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
• Husaidia kuongeza vitality na ustawi wa mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, terrain yenye uwiano mzuri ndiyo msingi wa afya endelevu na utendaji bora wa mifumo ya mwili. RED CLOVER TEA hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia mtiririko wa kawaida wa majimaji na michakato ya asili ya detoxification. Pia huchangia mzunguko mzuri wa damu kwa ajili ya usambazaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali. Aidha, hu-support balance ya mfumo wa endocrine ili kusaidia uratibu wa shughuli za mwili, huku ikiimarisha mfumo wa neva katika kudumisha mawasiliano mazuri kati ya mifumo mbalimbali. Ushirikiano huu huchangia vitality, usafi wa mazingira ya ndani ya mwili na ustawi wa jumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Kunywa kikombe 1–2 cha chai kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye mahitaji ya kuimarisha afya ya mfumo wa lymphatic na endocrine, wanaotaka ku-support detoxification ya kawaida ya mwili, afya ya ngozi na kuongeza vitality kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.